Mungu alimjalia kipaji akawa na utajiri mkubwa baadaye akafunga ndoa na maji ya dhahabu "pombe" hapo ndo ukawa mwisho wa heshima yake now ni km teja muokota makopo TU....haheshimiki
Rooney alipewa jina la Wazza akilinganishwa na huyu mjinga aliyekuwa na kipaji
.................