Mazoezi gani unayofanya kwenye utelezi we mnywa ulezi mtetezi wa mandeziWapi we dwanzi huniwezi mi ka Suarez mwenye kungfu shoes za mazoezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mabibo
Nakuona Bitoz ukipiga selfieAcha undezi ww
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Mandezi!!! Tulia we kuzi nikupe dozi ka tozi asie na pozi wala vipodozi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mazoezi gani unayofanya kwenye utelezi we mnywa ulezi mtetezi wa mandezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Hao hawana pa kukaa??? Mana wanazurula mnoooMbuzi wetu wana nidhamu siyo wapuuzi km hao watakuwa wamefundishwa na huyo kikofia star wa Jukwaa fulani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
Nakuona Bitoz ukipiga selfie[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Vipodozi mnapokezana wenye vikohozi watema makohozi ww na huyo Kikofia hebu anza kuzingatiaMandezi!!! Tulia we kuzi nikupe dozi ka tozi asie na pozi wala vipodozi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hao hawana pa kukaa??? Mana wanazurula mnooo
Mbuzi wa kufuga na mbuzi wa barabarani hapo patamu kweliHao hawana pa kukaa??? Mana wanazurula mnooo
Mbona hupunguzi makuzi wewe tozi usie na shoes???[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Vipodozi mnapokezana wenye vikohozi watema makohozi ww na huyo Kikofia hebu anza kuzingatia
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
...........
Sawa basi licongo mutu ya Congo inayoishi Nyumba za kupanga mtaa wa Kongo ili tu uoneshe mikogo ndo maisha yenu Wacongo hapa BongoMbona hupunguzi makuzi wewe tozi usie na shoes???[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ngoja nmalize kula kaya alafu ntakurudia we boyaNakuona andunje ukipiga tizi kichizi km chizi mtafuta kazi ya ulinzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Njema dada, habari za ckHabari zenu
Bitoz ukiwa na gozigozi utakosa pozi za kung'oa totoz wewe kigozi usie na pozi[emoji13] [emoji13] [emoji13]Sawa basi licongo mutu ya Congo inayoishi Nyumba za kupanga mtaa wa Kongo ili tu uoneshe mikogo ndo maisha yenu Wacongo hapa Bongo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
............
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Bitoz ukiwa na gozigozi utakosa pozi za kung'oa totoz wewe kigozi usie na pozi[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nlisikia kuwa eti ulidanja..!Habari zenu
Pouwa[emoji6]Habari zenu
Ngoja nmalize kula kaya alafu ntakurudia we boya[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sema Mabaibou[emoji23]Mabibo