Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haha kumshusha Jimena sio kazi rahisi, itabidi nikeshe hapa 24/7 mwaka mzima wakati huo na yeye awe amesimama kabisa kupost [emoji3][emoji3]
Jimena ni jembe sana, ni aina ya wanawake wachache wenye mvuto na kukubalika sana, ana mbinu kubwa sana za mapambano, ni aina ya ke ambao anaweza kuchezesha vichwa 10 za wanaume na wakatoka kapa.
 
Back
Top Bottom