briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Namkubali sana Jimena, yuko vizuri kwa kweliJimena ni jembe sana, ni aina ya wanawake wachache wenye mvuto na kukubalika sana, ana mbinu kubwa sana za mapambano, ni aina ya ke ambao anaweza kuchezesha vichwa 10 za wanaume na wakatoka kapa.