Makapuku Forum

Maua mengi rangi tofautitofauti(crazy coluors), haivutii sana kuchill hapo inawafaa sana hao mabotanists
 
Aaah [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Siyo kubembeleza kuwa rejesha tuu mkuu
Hata wawe wana kuja mara moja moja kama kina Liz na Th Name au kama kina Manuu
Itakuwa poa
Sumba yupo kwenye thread nyingine huko
Tofautisha kuwa BUSY na kukaushia thread........
Th Name anakujaga mara mojamoja ndo style yake tangu zamani
..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…