Hali ya hewa inavutiaNumber 6, Desert Botanical Gardens, Phoenix, Arizonawalio ianzisha ni Arizona Cactus na Native Flora Society mwaka1937, bustani ina maua zaid ya aina 21,000 , zaid ya taxa 4000.
Kwa wale tulo fika Arizona tunajua kuwa ni jua kali sana na kuna hali ya ujangwa so ukiiona hyo bustan nadhan uta enjoy
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Number 5, Kenroku-en Garden, Ishikawa, Japan
Hii nnachojua tuu iko japani
Mengine siyajui
Nyie tambueni ni nzuri na ina hekta kama 11.4 hviii
Hizo ni bustani hivyo najua watu walitaka kuziona vizuriAsante mkuu kwa picha zaidi
Mpiga picha wetu Bitoz
Nilitaka kushangaa France inakosaje kuwepo kwa mfano?Number 4, Gardens at the Versailles Palace, Francehaya maelezo na tia kiingereza kama yalvo ekwa vile vilee "The gardens are now one of the most visited public sites in France, receiving more than six million visitors a year." Bustan hizi zina chukua hekta zaid ya 800 ilijengwa na Louis XIV’s ambaye alisema jumba la kifalme lazma liwe na bustan nzuri pia ajiita yeye ni mfalme wa jua hivo alihitaji kivuli
Ahsante sana prezidentHizo ni bustani hivyo najua watu walitaka kuziona vizuri
..................
AaahNilitaka kushangaa France inakosaje kuwepo kwa mfano?
Wamesusa uziJaman Linamo na Sumbai
Ningependa kujuzwa wako wapi kwa sasa
Shukrani, mwanzo nao mgum najua mambo yatakuwa sawa, tozi letu linasaidia sana kwa maphoto mkuuHahaha
Pole mkuu
Si kazi rahisi nakwambia
Inahitaji time, lakini asante kwa ku dedicate time ya kuhakikisha tuna furahi
Ubarikiwe
Sasa kwanini hukuzamia na wewe?Number 2, Claude Monet’s Garden at Giverny, Francekwa miaka 43 mchoraji Oscar-Claude Monet, aliishi nyumbani kwake kijijini huko Givenry akijaribu kutengeneza bustani inayo fanana na michoro yake ya bustani, na ilimchukua miaka hiyo kufanya bustan hiyo ionekane hivo ilivo , miezi mizuri ya kutembelea hapo ni mwezi wa 4 hadi wa 10, ni bustani nzuri kweli kweli nilikuwa hapo mwaka 2009, kwa kweli nilipata mawazo ya kuzamia Ufaransa
[emoji15] QUIGLEY!Hahahaha
Bhana Quigley habar yako bhanaaaa
Yeah ni kweli lakiniShukrani, mwanzo nao mgum najua mambo yatakuwa sawa, tozi letu linasaidia sana kwa maphoto mkuu
Aseee inabid wasakwe warejeshweWamesusa uzi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
.................
Nilikukataza kuniita hivyoAhsante sana prezident
[emoji125] [emoji100]Sasa kwanini hukuzamia na wewe?
Warrason ana mawazo ya kimaskini hasa, nadhani kufanikiwa lazima mzungu atie mkonoAaah wapi...
Asante kwa South Afrika hakika wametutoa kimasomaso kuingia kwenye 10 kubwa sio swala la mchezoNumber 1, Kirstenbosch, Cape Town, South Africaikiwa ina zaid ya aina 22,000 za maua ilianzishwa mwaja 1913 huko Pretoria kwa ajili ya kutunza aina fulan ya maua yaliyo kuwa yakihisiwa yana weza kupotea kwenye uso wa dunia, amini usiamini hii ndo Botanical Garden ya kwanza kabisa duniani
Ina maua yanayo itwa Restoss na huzaliana kwa kupata aina yyte ya moshi kwa hiyo bustan hii mara nyingi huwa na kuwashwa moto ili kuwezesha maua hayo yazaliane
Hahahaha[emoji15] QUIGLEY!
Wakati anaitwa Jambilo