Huyu ukimtangaza anaingia kwenye guiness moja kwa mojaNna babu yangu ana miaka 150 na ana enda shamba jioni ana piga mpira kwenye uwanja wa kijiji hawafiki tyu waone uku kwetu
Sawa, ila siku nyingine usipotee sanaZa sku mbili au 3 zilizo pita
Kwanza nawataka radhi kwamba jana nilikuwa busy na nlikosa muda wa kuleta kumi kali hapa
Kazi ni nyingi so bear with me
Number 1, Kirstenbosch, Cape Town, South Africaikiwa ina zaid ya aina 22,000 za maua ilianzishwa mwaja 1913 huko Pretoria kwa ajili ya kutunza aina fulan ya maua yaliyo kuwa yakihisiwa yana weza kupotea kwenye uso wa dunia, amini usiamini hii ndo Botanical Garden ya kwanza kabisa duniani
Ina maua yanayo itwa Restoss na huzaliana kwa kupata aina yyte ya moshi kwa hiyo bustan hii mara nyingi huwa na kuwashwa moto ili kuwezesha maua hayo yazaliane
Kumbe Austria nao wamoNumber 10, Mirabell Gardens, Salzburg, Austria
Eeeh hii ili tengenezwa mwaka 1606 japo ilifanyiwa matengenezo mwaka na Prince-Archbishop Wolf Dietrich von Raitenau na ilifanyiwa markebisho madogo mwaka 1690
Hayo majengo mengine yalijengwa mwaka 1704 hadi 1718
Kwa wale wanaifaham fikamu bira kabisa ya "Sounds of Music" hapo ndo pale Maria ana kimbia na watoto wa kapten Von Trapp
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Jaman mlikuwa na mimi wenu Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Jimena wangu nlitaka nidokeze jambo hapa kuhusu bustan ya Morocco ile lakin ntakuja PM maana vijana wataanza majungu hapa
Nawakubali wana famili
Katika wik 3 hizi zijazo Top ten inaweza kuwa ina kuja na kupotea kiaina so kaen tayar any time na nna wataka radhi kwani ni sababu zilizo nje ya uwezo wangu
Adiooous amigooooooouw
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwanini hukufunga
Hii nayo nimeielewa vizuri
Hii ya China tusiisifie sana unaweza kukuta ni fake[emoji2] [emoji2] [emoji2]Number 8, Ji Chang Yuan, Jiangsu, China ,ilitengenezwa miaka ya 1700 ni nzuri na cha kushangaza ni kuwa ina chukua ekari moja tuuu ila uzuri wake ni kama ekari 1000 hvii
Acha kuchezesha kumuneno!Aaah wapi...
HahahahaUmeeleweka
[emoji4] [emoji7] [emoji4]Tuko poa sanaaa
Hawafuatilii tuu hawaHuyu ukimtangaza anaingia kwenye guiness moja kwa moja
Njema mkuu, japo leo nimepata taabu sana kurusha kipindi kile nilikuwa sehemu mbaya kimtandao, vp upande wako babaHahahaha
Bhana Quigley habar yako bhanaaaa
Yeah nimemuonaUmemwona sasa!
Asante mkuu kwa picha zaidi[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
..............
HahahaNjema mkuu, japo leo nimepata taabu sana kurusha kipindi kile nilikuwa sehemu mbaya kimtandao, vp upande wako baba