Makapuku Forum

Najifunza
 
Ndo mana inabidi ukodi kampuni kwasabu ndo wanakupa kuanzia dereva mzoefu pamoja na tour guide mzoefu anayejua simba anapatikana chaka gani na mda gan hali kadhalika na wanyama wengine... Ni kweli mbugani mwendo ni polepole lakin kwa matour guide wazoefu mnaenda kwenye targets tu hivyo mnasave sana muda
 
Hapo sawa mkuu, ninauzoefu wa kutosha kwa mbuga hizi za kaskazini na Mikumi, safari kama hii ni ya matajiri wakubwa tena kwa chopa, vinginevyo hutaweza
 
Mliinjoy sana inaonyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…