Makapuku Forum

Na mi ngoja nijitutumue kama Szczesny hapa nisibaki nyuma ujiandae tutafute vacation twende hahaa uzuri hifadhi za upande wa kaskazini ni kama zimepangana hivi ukipata kampuni nzuri wanaanzia tarangire, manyara, ngorongoro unamalizia na serengeti
Safari kama hii mkuu huwezi enjoy mkuu niamini, najua nisemacho, kumbuka barabara zote ndani ya mbuga ni rafu road na huruhusiwi kuendesha gari spidi zaidi ya 50km/hr. Na mbugani nyakati nzuri za kuona wanyama ni asubuhi na jioni hivyo safari kama hii huwezi ona baadhi ya wanyma kwani dereva atakuwa ana rush kukamilisha ratiba tu
 
NUKUU YA LEO :
Mwombee mwenzako afanikiwe sio ili akusaidie bali ajitegemee
By Bitoz
.....................
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Ndio mkuu kampuni nyingi zinazopeleka watalii huko zinakupitisha hifadhi zote hizo mi nlianzia tarangire, manyara, ngorongoro nikamalizia na serengeti
So Arusha national park hujaenda kwa black and white collubus!
 
Na mi ngoja nijitutumue kama Szczesny hapa nisibaki nyuma ujiandae tutafute vacation twende hahaa uzuri hifadhi za upande wa kaskazini ni kama zimepangana hivi ukipata kampuni nzuri wanaanzia tarangire, manyara, ngorongoro unamalizia na serengeti
Asanteee

Sasa naanza maandalizi hapa ili vacation ikifika nifanye utalii
 
Haha ndio mkuu, it was a kind of offer nna ndugu yangu yupo kwenye moja ya hayo makampuni alinionganisha kwenye safari moja na wageni wa nje, haikuwa ya presha kama unavyodhani tarangire tilispend siku mbili tukalala mto wa mbu tukaamkia manyara nako ni padogo tuliispendi siku moja tukaamsha ngorongoro next day ambako tulispend kama siku nne siku baada ya hapo tukaenda serengeti, kwa ujumla tulispendi kama wiki mbili na siku kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…