Hiyoo[emoji121] [emoji121] [emoji121]Haya tuletee hiyo wajua
1) Je wajua?
Nyangumi wa rangi ya bluu(blue whale) ndiye kiumbe mwenye nguvu zaidi duniani(kwenye maji) na mkia wake waweza kuirusha boti (boat) hewaniView attachment 362953
Nini tenaMmmmmh
2) Tembo wa Africa ndiye mnyama mwenye nguvu zaidi nchi kavu, mkonga wake una uwezo wa kunyanyua uzito wa paundi 600 sawa kg 270 au gunia 2.7View attachment 362956
Hamna kituNini tena
Ndio[emoji2]Nimlete orijino?
......
Salama wapi..3) je wajua?
Tokyo Japan ndilo jiji salama kuishi zaidi ulimwenguniView attachment 362961
Hakuna wizi na uuwaji wa kukusudia...manga hayo tunsita God acts au majole caseSalama wapi..
Wakati wanakabiliwa na Tsunami pamoja na Tetemeko la ardhi
Kumbe ni wababe sana1) Je wajua?
Nyangumi wa rangi ya bluu(blue whale) ndiye kiumbe mwenye nguvu zaidi duniani(kwenye maji) na mkia wake waweza kuirusha boti (boat) hewaniView attachment 362953
SanaaKumbe ni wababe sana
4) je wajua?
Jiji la Caracas Venezuela ndilo jiji hatari zaidi kuishi ulimwenguni
Picha zinagoma, bitoz fanya yako
Majanga yanaitwa God acts sio mauaji ya kibinadamu ya kukusudiaHakuna wizi na uuwaji wa kukusudia...manga hayo tunsita God acts au majole case
Kwakweli ni pazuri na panavutia3) je wajua?
Tokyo Japan ndilo jiji salama kuishi zaidi ulimwenguniView attachment 362961
Very good bitoz
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]![]()
![]()
Una SWALI?
............