Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
Werra Werra
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
Mengi yanazungumzwa mojawapo ni kuwa alipishana na CIA kuhusu mafia mob ndani ya Cuba.Mbona nilisikia alipishana na Elites???
huyu ni Mkongo wa Kariakoo kongoNashangaa Licongo linajifanya halimjui
...........
![]()
Werra Werra
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Namjua kwa picha ambazo hajavaa hicho kikofia cha Kuku wa Zabanga, akiwa na way flani hivi mu kichwa!!!huyu ni Mkongo wa Kariakoo kongo
![]()
![]()
Zaire Flag
............
Naona Bitoz anakuoshea sana.. naomba uniuzie ugomvi ili nmuoneshe..[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
Huyo ni Mobutu Seseseko Kuku Bendu wa Zabanga
Huyo ni Mobutu Seseseko Kuku Bendu wa Zabanga
Lumumba hakufa kwa ajali mkuu...![]()
![]()
![]()
Ajali iliyomuua ni ya ndege
................
Nimechanganya basi na Kiongozi mwingine....Lumumba hakufa kwa ajali mkuu...
Alikamatwa, akateswa mpaka kifo. Chini ya komredi Mobutu Sesseseko.Nimechanganya basi na Kiongozi mwingine....
Alikufaje ?
............
Aliyefariki kwa ajali ya Ndege ni Samora Machel wa Msumbiji.Nimechanganya basi na Kiongozi mwingine....
Alikufaje ?
............
Aliyekufa kwa ajali ni yupi pale Zaire?Alikamatwa, akateswa mpaka kifo. Chini ya komredi Mobutu Sesseseko.
alikuwa Kiongozi?Aliyekufa kwa ajali ni yupi pale Zaire?
.........
Ndo niliyomlenga ila nikajichanganyaAliyefariki kwa ajali ya Ndege ni Samora Machel wa Msumbiji.
Upo vizuri mzee WA historyalikuwa Kiongozi?
Inasikitisha sana!!Ndo niliyomlenga ila nikajichanganya
Ngoja nikupe picha za kifo cha Lumumba![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
............