Makapuku Forum

Number 5, bwana harusi aliye miimbia bibi harusi usiku wa harusi
tukio hili ana lisimua kadhi mmoja hukuo saudi arabia Sheikh Ghazi Bin Abdul Aziz al-Shammari.
Ana sema wakati wa mchana wa harusi alipewa zawadi kwenye bahasha lakini hakufungua kwani alikuwa ana wahi kuchukua mke
Hivo usiku alipo fungua alikuta picha za uchi za mkewe zilizo tumwa na Ex wake

Kilichofuata
Bwana harusi anatafutwa mpaka hvi leo
 
Number 4, Ramon Cusi, (65l na Esperanza Manapat, (45)

Hawa ni wakazi wa Manila huko Ufilipino
Kwenye mabano ni miaka yao

Bwana harusi ali fariki ghafla hapo hapo kanisani baada ya kukubali tuu kumuoa bibi huyo
Alipo sema "i do",na pumzi ika kata
Kilicho sikitisha ni kuwa hiyo ilikuwa ndo harusi ya kwanza kwa bibi harusi
 
Mkuu sababu ya kuachana sijaielewa..umendika miimbia..unamanisha kuimba au!
 
So sad
 
Number 3, Zsa Zsa Gabor na Felipe de Alba
bibie Gabor alikuwa ana olewa mara ya 9 na ndugu Felipe lakin baad ya kufunga ndoa tuu walitaarifiwa kuwa bibi harusi alikuwa hajapewa talaka bado na mume walo achana naye
Hivo ndoa haikuwa halali
Baada ya hapo ndo nao wakaachana moja kwa moja
 
Number 2, Jean Acker na Rudolph Valentino hawa waliachana masaa 6 baada ya kuona, usiku wa harusi tuu
Bibi harusi alimfungia bwana harusi na hawakulala pamoja
Na bibi harusi alidai yeye ana penda wana wake wenzie kulaka na huyo bhana hawezi
So waka ishia hapo

Hiyo ni mwaka 1919 na wana sema bwana harusi mpaka ana fariki hakuja ongea na huyo bibie tenaa
 
Alikuwa amechelewa chakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…