Sawa mamaUsisahau kuniletea zawadi
Hahaaha ... Stevie wonder katisha
kwani haiwezi kuwa?![]()
![]()
Beiby??
u're my only one in my heart and my souli love u too🙂🙂
kwanini?Hapana![]()
![]()
Kwanza kuna times we ni mkali balaakwanini?

nachekesha tena? nani amekwambia nina mke?u r vere funny...Nani anataka ukewenza😡😡😡😡😡
hapana huwa sipo serious bhana, usiponizoea unaweza kujua mimi mtataKwanza kuna times we ni mkali balaa![]()
kwani kuna sehemu nimesema tayari mama?i love u too ndo nimekubali???
Mwambie bado sana😎😎😎
hapana huwa sipo serious bhana, usiponizoea unaweza kujua mimi mtata
Akuu...... Kina Jimena ndo wameshakuzoeaMbona ndio naamka sasaWe mtoto wa kike lala basi usiku saa hizi
Hapana chezea Madrid,Mi nilijua watapoteza tu tangu wafungwe na real sociedad chezea madrid we

Du....saa 5Mbona ndio naamka sasa
niombe radhi mkuu, hakuna timu nisioipenda duniani kama MAN U na Wafuga kambale Wa Kariakoo a.k.a vyura.. YANGA MBELEKO FCHehehe Mkuu pole kwa kujifariji