Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Apr 14, 2016 #6,301 youngblood said: Good morning, uko poa? Click to expand... Youngblood nko poa sana, habari yako!
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Apr 14, 2016 #6,302 mshana jr said: Mjini hatusemi marhaba tunasema asantee Nahrene mzima wewe? Click to expand... Naona mkongwe umeamua kutembelea makapukus
mshana jr said: Mjini hatusemi marhaba tunasema asantee Nahrene mzima wewe? Click to expand... Naona mkongwe umeamua kutembelea makapukus
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Apr 14, 2016 #6,303 cute b said: Nani sijampa like? Click to expand... Cjaziona cute b:
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,078 Reaction score 10,426 Apr 14, 2016 #6,304 zabron k said: Tafasiri au maana ya neno "Kapuku" ni ipi? Tafuta msamiati au neno lingine kuwakilisha hili chama. Click to expand... Dah... hata mimi napata ugumu sana.. kwetu kapuku ni yule ng'ombe dume asiyeweza chochote zaidi ya kula tu hivyo ni hasara tupu kuendelea kumfuga
zabron k said: Tafasiri au maana ya neno "Kapuku" ni ipi? Tafuta msamiati au neno lingine kuwakilisha hili chama. Click to expand... Dah... hata mimi napata ugumu sana.. kwetu kapuku ni yule ng'ombe dume asiyeweza chochote zaidi ya kula tu hivyo ni hasara tupu kuendelea kumfuga
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Apr 14, 2016 #6,305 PNC 1 said: NILICHOGUNDUA NI KUWA ROBO TATU YA MAKAPUKU NI WASHABIKI WA MAN U NAWAPA POLE Click to expand... upo sahihi
PNC 1 said: NILICHOGUNDUA NI KUWA ROBO TATU YA MAKAPUKU NI WASHABIKI WA MAN U NAWAPA POLE Click to expand... upo sahihi
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Apr 14, 2016 #6,306 amaizing said: Ni poa sanaaaa Click to expand... Sawa, ck njema kwako na makapukus wote
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 14, 2016 #6,307 jambilo said: Hivi likes za makapuku ni 5 tu! Click to expand... Tano tu*!
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Apr 14, 2016 #6,308 cute b said: Nani sijampa like? Click to expand... Mi umenipa kimoja tu...
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Apr 14, 2016 #6,309 Rohombaya said: Dah... hata mimi napata ugumu sana.. kwetu kapuku ni yule ng'ombe dume asiyeweza chochote zaidi ya kula tu hivyo ni hasara tupu kuendelea kumfuga Click to expand... Jina la kitu chchote hutofautiana kulingana na mazingira, hivyo mkuu wa makapuku aliwahi kutoa ufafanuzi kuwa kapuku ni wana jf walio jiunga muda sio mrefu na wasioaarufu, from 2014 to 2016
Rohombaya said: Dah... hata mimi napata ugumu sana.. kwetu kapuku ni yule ng'ombe dume asiyeweza chochote zaidi ya kula tu hivyo ni hasara tupu kuendelea kumfuga Click to expand... Jina la kitu chchote hutofautiana kulingana na mazingira, hivyo mkuu wa makapuku aliwahi kutoa ufafanuzi kuwa kapuku ni wana jf walio jiunga muda sio mrefu na wasioaarufu, from 2014 to 2016
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Apr 14, 2016 #6,310 mshana jr said: Sitting room kitandani kila mtu bebi Click to expand... Buahahhahah... Dah nimeipenda hii
mshana jr said: Sitting room kitandani kila mtu bebi Click to expand... Buahahhahah... Dah nimeipenda hii
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 14, 2016 #6,311 jambilo said: Youngblood nko poa sana, habari yako! Click to expand... Fresh kabisa mkuu
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Apr 14, 2016 #6,312 PNC 1 said: NILICHOGUNDUA NI KUWA ROBO TATU YA MAKAPUKU NI WASHABIKI WA MAN U NAWAPA POLE Click to expand... mBASHALONA acha kutapatapa wapo ArsayNO + The Blauz wengi tu humu Wanaona soo kujitambulisha .......................
PNC 1 said: NILICHOGUNDUA NI KUWA ROBO TATU YA MAKAPUKU NI WASHABIKI WA MAN U NAWAPA POLE Click to expand... mBASHALONA acha kutapatapa wapo ArsayNO + The Blauz wengi tu humu Wanaona soo kujitambulisha .......................
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Apr 14, 2016 #6,313 jambilo said: Hivi likes za makapuku ni 5 tu! Click to expand... Bitoz alisema atafuatilia hii ishu, sijui kaishia wap?
jambilo said: Hivi likes za makapuku ni 5 tu! Click to expand... Bitoz alisema atafuatilia hii ishu, sijui kaishia wap?
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 14, 2016 #6,314 briz said: Bitoz alisema atafuatilia hii ishu, sijui kaishia wap? Click to expand... Mods wamegoma
Uliza_Bei JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 3,216 Reaction score 994 Apr 14, 2016 #6,315 Kama mna njama......basi tumewaona!!!!!
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Apr 14, 2016 #6,316 Zamaulid said: Kuwa shabiki wa arsenal inabidi kujitoa fahamu Click to expand... ni kwel mkuu, sijui ile timu ina nyota ya kutofanikiwa?
Zamaulid said: Kuwa shabiki wa arsenal inabidi kujitoa fahamu Click to expand... ni kwel mkuu, sijui ile timu ina nyota ya kutofanikiwa?
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 14, 2016 #6,317 Uliza_Bei said: Kama mna njama......basi tumewaona!!!!! Click to expand... Hutuna nia mbaya
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Apr 14, 2016 #6,318 briz said: Bitoz alisema atafuatilia hii ishu, sijui kaishia wap? Click to expand... Nenda MEMBERS ONLY kule kwenye thread husika tuliishajibiwa ............................
briz said: Bitoz alisema atafuatilia hii ishu, sijui kaishia wap? Click to expand... Nenda MEMBERS ONLY kule kwenye thread husika tuliishajibiwa ............................
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Apr 14, 2016 #6,319 youngblood said: Mods wamegoma Click to expand... Hii Makapuku forum ikifika replies 15k hao mods watalegea tu!!
youngblood said: Mods wamegoma Click to expand... Hii Makapuku forum ikifika replies 15k hao mods watalegea tu!!
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,049 Apr 14, 2016 #6,320 briz said: Hii Makapuku forum ikifika replies 15k hao mods watalegea tu!! Click to expand... Lazima walegee.
briz said: Hii Makapuku forum ikifika replies 15k hao mods watalegea tu!! Click to expand... Lazima walegee.