Makapuku Forum

(3) Duma (cheetah) ni mnyama mwenye mwendo kasi kuliko wanyama wote. Ana uwezo wa kukimbia kwa maili 68/kwa saa sawa na km 108.8/kwa saa.
Hii ni kutokana na kuwa na miguu mirefu inayomwezesha kukimbia
 
Unapewa number na dem alaf
anakuambia uwe unampigia saa 6 usiku pekee,
unashindwa na unajiuliza ni kwanini? kidogo kidogo
ukichunguza na unagundua amekusave
"alarm"....... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] Robert Mugabe.
 
Mugabe [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…