Makapuku Forum

Basi aliuawa John Kennedy mbele ya mkewe sijui km nimekosea
.......
John F. Kennedy aliuwawa mbele ya Mkewe wakiwa Dallas, Texas walipokuwa kwenye gari la wazi mnamo 22 November ya mwaka 1963.

Alipigwa risasi 3 moja wapo ya kichwa na kuhitimisha uhai wake.

Huyu ni Rais wa mwisho wa USA kuuwawa akiwa Madarakani.

Alirithiwa na makamu wake Lyndon B. Johnson.
 

Upo very clear


.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…