Makapuku Forum

Pia alikoswa kuuliwa mwaka 1981 nadhani, baada ya kupigwa risasi iliyovunja mbavu zake na kusababisha kuvuja damu nyingi sana ndani kwa ndani.

Kama si kukimbizwa hospitali iliyokuwa karibu angefariki.

Tokea tukio hilo, kukatokea mageuzi katika gari za Rais wa Marekani ambapo kuna damu ya akiba inayoendana na Rais inahifadhiwa kwenye gari analopanda incase mambo yakiharibika anaongezewa damu fasta.
 
Asante kwa nyongeza
 

Aliuawa mbele ya mke wake
.........
 
Sio mchezo
 
Safi mkuu

Umeumiza kichwa hapo
 
Asante sana kwa nukuu ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…