Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Uingereza.Hivi walikuwa koloni la mfaransa au!
Uingereza.Hivi walikuwa koloni la mfaransa au!
Inabidi mjitahidi sasaBado Tanzania tu
Leo katika Historia.
29/06/1974 Isabel Peron anaapishwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Argentina.
Leo katika Historia
29/06/1978 Nicole Scherzinger Mwanamuziki kutoka nchini Marekani anazaliwa.
Leo katika Historia.
29/06/1988. Ever Banega Mchezaji wa kiungo wa Valencia na timu ya taifa ya Argentina anazaliwa.
Leo katika Historia.
29/06/2007 Kampuni ya Apple wazindua rasmi simu yao ya kwanza ya Iphone.
Mbona kama anapiga saluti za Nazi?
Juzi tu hapa, sijui sisi tuliwahi nini??Leo katika Historia.
29/06/1976 Seychelles ( Shelisheli ) wanapata Uhuru wao toka kwa Uingereza.
Hapa picha tu ndo utamu kunogaNakukubali sana mzee picha!! Endelea kutuletea tuwafahamu zaidi hawa wataalamu
Wekeni na ile lie about us ya Nicole yuko na AvanteLeo katika Historia
29/06/1978 Nicole Scherzinger Mwanamuziki kutoka nchini Marekani anazaliwa.
Asante sana mussolin na bitoz kwa Leo historia pamoja na pichaMbona kama anapiga saluti za Nazi?
Hapana ni ya kipapaiMbona kama anapiga saluti za Nazi?
Bwahahahahahaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Leo katika Historia itawajia punde tu kwa udhamini wa Tp Mazembe.
Mi napenda kuishi kwa raha bila stress hivyo sipendi cheo chochote cha kisiasaUnaweza kuwa wewe wakwanza kuwa
Hii picha inanichekesha sanaHapa picha tu ndo utamu kunoga![]()
.......
Hahahahahaha toka lini umeanza kushabikia Mazembe??Kwa leo tuishie hapo.
Tukutane tena kesho hapahap.
Tupate maneno ya wadhamini wetu Tp Mazembe
Ahsante pia mkuu...Asante sana mussolin na bitoz kwa Leo historia pamoja na picha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana ni ya kipapai
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
. .......
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kwa leo tuishie hapo.
Tukutane tena kesho hapahap.
Tupate maneno ya wadhamini wetu Tp Mazembe