Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
[emoji120] [emoji120]Ahsante sana!!
[emoji120] [emoji120]Ahsante sana!!
Poa sanaNzuri, za wewe
Kwenda hukoNunua gazeti [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]Leo katika Historia itawajia punde tu kwa udhamini wa Tp Mazembe.
Leo katika Historia
29/06/1946 Ernesto Perez Balladares, Rais wa 33 wa Panama azaliwa.
[emoji106]Leo katika Historia
29/06/1946 Ernesto Perez Balladares, Rais wa 33 wa Panama azaliwa.
Bado ni rais mpaka leo??Leo katika Historia
29/06/1946 Ernesto Perez Balladares, Rais wa 33 wa Panama azaliwa.
Hivi walikuwa koloni la mfaransa au!Leo katika Historia.
29/06/1976 Seychelles ( Shelisheli ) wanapata Uhuru wao toka kwa Uingereza.
Bado Tanzania tuLeo katika Historia.
29/06/1974 Isabel Peron anaapishwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Argentina.
Unaweza kuwa wewe wakwanza kuwaBado Tanzania tu
Leo katika Historia.
29/06/1976 Seychelles ( Shelisheli ) wanapata Uhuru wao toka kwa Uingereza.
Nakukubali sana mzee picha!! Endelea kutuletea tuwafahamu zaidi hawa wataalamu
Nadhani hapanaBado ni rais mpaka leo??