shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Pamoja sanapoa, kumekucha mkuu
Pamoja sanapoa, kumekucha mkuu
Hawezi kumsahau De limaMr. Kiparaaa
Ndo nimemuona dogo halafu ni blondeBitoz kamweka hapo chini
Vipi kikao kimeisha?? Nasikia mmesharudi kwa malkiaMbona hivyo
Morning sisMorning family
Bonjour PapaaBonjour
Poa wakwetu, uko full???Mambo niajeee werrason
Nipo full kapukuPoa wakwetu, uko full???
Morning kapuku, za mwamkoMorning wakuu
AsanteeeeLeo katika historia
28/06/1926
kampuni ya Mercedes Benz yazaliwa huko Ujerumani.
Siipend city ila jamaa namkubali mpaka basLeo katika historia.
28/06/1991. Kevin De Bruyne mchezaji wa Man city na Ubelgiji azaliwa.
Naona leo vichwa vya habar kila gazr lina chake
Nzur kk wew je!?Morning kapuku, za mwamko
Leo ni kiboko kabisaNaona leo vichwa vya habar kila gazr lina chake