Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,268
- 68,342
Leo katika historia.
28/06/1991. Kevin De Bruyne mchezaji wa Man city na Ubelgiji azaliwa.
28/06/1991. Kevin De Bruyne mchezaji wa Man city na Ubelgiji azaliwa.
Leo katika historia
28/06/1926
kampuni ya Mercedes Benz yazaliwa huko Ujerumani.
Kampuni kongwe kabisaLeo katika historia
28/06/1926
kampuni ya Mercedes Benz yazaliwa huko Ujerumani.
Leo katika historia
28/06/1971 Kipa wa zamani wa Ufaransa Fabien Barthez azaliwa.
Barthez kitambo sanaLeo katika historia
28/06/1971 Kipa wa zamani wa Ufaransa Fabien Barthez azaliwa.
Huyu hata simjui....Leo katika historia.
28/06/1991. Kevin De Bruyne mchezaji wa Man city na Ubelgiji azaliwa.
Leo katika historia.
28/06/1991. Kevin De Bruyne mchezaji wa Man city na Ubelgiji azaliwa.
Nzuri sana,za kwakoHabari za asubuhi wakuu
Asante shemAmaizing natambua uwepo wako, karibu twakumiss na manuu...wapi wapendwa!

Hey mamyMorning family
Fundi wa mpira
poa, kumekucha mkuuNzuri sana,za kwako
Nimemaliza mkuuMussolin5 sijui umemaliza??? Maana nilikuwa nakusubiri wewe tu umalize ili niweke kurasa
Pamoja sanaNimemaliza mkuu
safi tu mkuu...Njema mkuuu, habari kwako!