Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
Kumbe na wewe umemuona eeh?? Yani alihakikisha lazima anatupia..... Kudadaaaaadeki

Kumbe na wewe umemuona eeh?? Yani alihakikisha lazima anatupia..... Kudadaaaaadeki

Na ww umesahaulika kuweka kwenye list ya Makapuku km Jonax au umewekwaAcha tu!!! Hii ilikuwa yangu aisee, maana uwanja ulikuwa mweupe nikadribble toka kati ya uwanja waya!!!
Hali ya hewa ya dar Leo iko vizuri sanaSalama, niajez
Mimi pia nafurahi uwepo wako,muzee ya ituriMukubwa ya Mukubwa nafurahi uwepo wako.
Haya fanyeni fasta kumuweka Licongo kabla sijakinukisha hapaaSijawekwa![]()

Upo mkuu
Mutu ya congo anasomeka kwenye list vyema tuNa ww umesahaulika kuweka kwenye list ya Makapuku km Jonax au umewekwa
![]()
![]()
![]()
........
Naomba kufahamu hizo emoji unapata wapi na kama natakiwa kuupdate JF naomba kujua piaIs the time of kutambaring...!![]()
Hakuna shaka....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sorry, nilisomapo post namba moja tu
hahahaa beki zikawa hazikabiAcha tu!!! Hii ilikuwa yangu aisee, maana uwanja ulikuwa mweupe nikadribble toka kati ya uwanja waya!!!
sio utani ila ni kweliUna utani na wachagga wewe!!!
Hizi nmezidownload hivyo huwa nazipost kama picha tuNaomba kufahamu hizo emoji unapata wapi na kama natakiwa kuupdate JF naomba kujua pia
Ngoja nae apige picha na RaisKumbe na wewe umemuona eeh?? Yani alihakikisha lazima anatupia..... Kudadaaaaadeki