Kwahiyo wewe ulikuwa poland au
Sema timu unayoshabikia game hii.![]()
Mnatia huruma nyie Waswiss......
Mi Polish fan
...........
Sishabikii yoyote nawakubali wote tuSema timu unayoshabikia game hii.
[emoji1] Haya!!! ya saa nne???Sishabikii yoyote nawakubali wote tu
.............
Tunazidi kubomoa Camp za Wakongwe ht Ngedere Ungabure akija kwa ID nyingine mpya haina kwere ilimradi asije kwa shariNaskia wakongwe wanakuja na id mpya ili waingie MAKAPUKU?
CR7 but kiroho mkononi[emoji1] Haya!!! ya saa nne???
[emoji3] [emoji3] [emoji106]Tunazidi kubomoa Camp za Wakongwe ht Ngedere Ungabure akija kwa ID nyingine mpya haina kwere ilimradi asije kwa shari
........
NjemaSalamuu wapendwa
Mie Croatia[emoji41]CR7 but kiroho mkononi
...,....
mie mwenyewe sina tatizo.Mi roho kwatu...sijui nyie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........,
teh teh teh...Kaliwa alibet hela ya sadaka....kesho hatoenda church
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
salama papaaSalamuu wapendwa