Makapuku Forum

Sidhani... Serikali haitakubali,
Juzi kati hapa waliishinikiza serikali kuacha kupokea wakimbizi vinginevyo watahakikisha uchaguzi ujao wanakitoa kile chama madarakani,
Ngoja tuone itakavyokuwa
Hahaha
Kwa sweden sidhani, uingereza wao huji feel wanatakiwa wawe nje ya EU toka kitambo tuu

Ila hiyo kulazimishana immigrants ndo wata wachefua watu sasa

Yaan uko UK watu walichafukwa na roho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…