Leo jaman its weekend so top ten lazma ije ki weekend zaid
So speaking of weekend, najua lazma mme chill mna pata
So leo tuna cheki top ten ya mvinyo or mivinyo or whatever yenye gharama kubwa zaid duniani
Au mvinyo ghali zaid duniani au kwa lugha rahisi ya kizungu
Top 10 Most Expensive Red Wines In The World: Cabernet Sauvignon Tops The List
Number 10, Chateau Margaux 2009 Balthazar –$4,062
2009 Chateau Margaux’s katon tatu za chupa 12 huuzwa kwa US$195,000 na mfanyabishara mmoja huko Le Clos ,Dubai
Zimewahi tengenezwa katon 6 tuu na zimeuzwa katon tatu mpaka sasa
Ikiwa na umri wa zaid ya miaka 150 bei tajwa hapo juu ni bei ya glasi moja tuu
Bei yake ya chupa ni takriban $124,469. Na ukitaka kuletewa kwako na gari utaongeza $ 24,000 tuu
Number 8, Domaine de la Romanee-Conti 1990 – $20,975
Hii huuzwa mara chche sana na zilipo uzwa glas nane za mvinyo huu mwaka 1996 ziligharimu US $224,900. Tuu
Number 8, Domaine de la Romanee-Conti 1990 – $20,975
Hii huuzwa mara chche sana na zilipo uzwa glas nane za mvinyo huu mwaka 1996 ziligharimu US $224,900. Tuu
Number 7, Chateau Mouton
Rothschild 1945 –$23,000
so hii kitu pesa yake ni zaid ua Us $ 77,000 kwa mil 750
Ni mbabe mmoja tuu aliwahi fikisha milimita zilizo gharim us $310,700