KABUGHA
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 351
- 1,004
Nimejitahid kupitia post zote katika forum hii tukufu ya makapuku sema avatar yako inasababisha nacheka pindi nionapo comment yako kapuku mwenzanguHakika, lazima tujipandishe bwana
Nimejitahid kupitia post zote katika forum hii tukufu ya makapuku sema avatar yako inasababisha nacheka pindi nionapo comment yako kapuku mwenzanguHakika, lazima tujipandishe bwana
Cheka ndugu yangu uondoe damu chafu mwiliniNimejitahid kupitia post zote katika forum hii tukufu ya makapuku sema avatar yako inasababisha nacheka pindi nionapo comment yako kapuku mwenzangu

![]()
![]()
![]()
makapukuu katikaa uboraa wetu

Wanaanzaje sasa kugoma kwa mfano??Chungulia dirisha la kila member wakupe kwa lazima.. Wakigoma ingia ndani lazima upate
Weka kapicha basi kapukudah makapuku karibuni ugali kwa samaki na kachumbari
Sio kwa mshikamano huu tuliouonyeshaNaanzaje kwanza kukuchunia![]()
![]()
Hapo sasa...like basi eeWanaanzaje sasa kugoma kwa mfano??
Hapa nime like japo sikuelewa damu chafu inaondokaje kwa kucheka!!Cheka ndugu yangu uondoe damu chafu mwilini![]()
![]()
Karibu sana kama bado hujawekwa kwenye list unaweza kumPM Th Name ili akuweke kwenye orodhaNimejitahid kupitia post zote katika forum hii tukufu ya makapuku sema avatar yako inasababisha nacheka pindi nionapo comment yako kapuku mwenzangu
baadaye nitaweka maana saahz kijasho kinanitoka, si unajua jiko la mchina nimeliwasha likazipuka, vuuup!!! balaa..Weka kapicha basi kapuku
Hapo sasa...like basi ee

Ikiungua pia utuambie ili tugonge likes.![]()
Yaani hamuwezi kuamini, simu yangu imeisha chaji, ila nailetea ukauzu si kwa mapenzi haya juu yenu![]()
![]()
![]()
Hii inaitwa kampeni paisha makapuku,nashauri ukikuta uzi wowote kapuku amecomment gonga like mpaka hawa wanaojiona wakongwe wapige magoti.
mkuu sie ndo mabosiii wao so hawatusumbuiii haoo wanaojiitaa ma supastaaaTunasubiri![]()
lazima mjue