Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
HahahaNa kwanini usipewe, labda uwe ume install software ya anti-like![]()
HahahaNa kwanini usipewe, labda uwe ume install software ya anti-like![]()
karibu kwa MAKAPUKU.tdHapa pananifaa.
Na wala hatugombwiKwa raha zetu
ChukuaNaombeni likes😀
Karibu sanaHapa pananifaa.
Roho nyeupeeee! Kumbe makapuku wakiamua wanawezaNa wala hatugombwi
Utapata usijaliNimemiss Likes![]()
![]()
Zimepita dakika kadhaa bila kupata likes nikadhani device imekorofisha kumbe mmenichunia tu??Karibu sana
Like, comment tutalike
Acheni utani jamani guseni botton ya like tafadhaliChukua
Nimegusa yako na yake... Tabasamu basiAcheni utani jamani guseni botton ya like tafadhali
makapukuu katikaa uboraa wetuMkuu usihofu tunakupatia za kumwaga!Naombeni likes😀
Hakika, lazima tujipandishe bwana![]()
![]()
![]()
makapukuu katikaa uboraa wetu
Chungulia dirisha la kila member wakupe kwa lazima.. Wakigoma ingia ndani lazima upateZimepita dakika kadhaa bila kupata likes nikadhani device imekorofisha kumbe mmenichunia tu??
Wala hatuna presha![]()
![]()
![]()
makapukuu katikaa uboraa wetu
Naanzaje kwanza kukuchuniaZimepita dakika kadhaa bila kupata likes nikadhani device imekorofisha kumbe mmenichunia tu??

Kwa pamoja tunawezaTunaweza![]()
![]()
