Una undugu na PNC 1 wwOk, nmeshastuka... nahisi hata wakongwe wao pia ni mamods hvyo kama hawakupendi wanakupiga Ban kila wakati..![emoji19]nauliza WHY.... mnanifanyia hv
Mi huwezi kunikuta POLIFIX FORUM huwa nasomasoma TU siwi na kiherehere huko kwa akina FaizerFix coz naweza tukana mtu bure kunahitaji uvumilivu
........
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]nitakuja kuwapasua hawa mods cku moja.. ohooo
Acha kabisa....Aisee, nimeipiga Jana chali,nikastuka saa 6 usiku
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji276] Umeniita?
Niko stimu mbayaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Cc: Jimena
Hii ni ngumu kumezaJibu ni Ndio.. ninaendesha mpaka
Kuna mtu anatafuta KICK kule MEMBERS ONLY kamwangalie kakomaa tangu asubuhi inaonekana hii thread inamuuma kuliko makorokoro ya kina Igweeee na NgedereAcha kabisa....
Itakuwa ban ya kosa ulilofanya siku chache zilizopitaHivi mimi ninakosa gani, au nmefanya nini?leo nmekesha hapa chit-chat alafu nashangaa napigwa Ban.
Why?..nauliza tena WHY...!!
Mpaka sasa bado??? Basi hapo mualiko hakunaNitakuita dada'angu ili twende wote.
Naona hutaki ushahidi kabisa unaamua kusepa[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
.......,
Hata mm napiga hapaNiko stimu mbayaaaaaa
Mmh! ila siku hizi nmekuwa mtiifu hvyo sidhani kama nmekosea popote paleItakuwa ban ya kosa ulilofanya siku chache zilizopita
Jioni njema
Daaahh[emoji3] [emoji3]tototoooo[emoji39]
Mimi ndo yule kaka ako wa shule, au umenisahau?Daaahh[emoji3] [emoji3]
Asante kwa kuniita hilo jina
Umenikumbusha kaka angu wa shule alikuwa anapenda kuniita totooo