Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Mhh braza mpaka hapo inaonekana kabisa moyo wako bado upo kwa yule wa zamani so ni vema ukarudiana nae kuliko kuendelea kuwa nusunusu huku kwa sasa.
Swali la kizushi:
Japo hujasema kisa cha huo mgogoro lakin ni nani aliyempa likizo mwenzie kati ya nyie wawili? Jibu unaweza kubaki nalo tu.. teh
Kama ni wewe uliyetoa hiyo likizo basi sina shaka sana na kurudi kwake ila kama ni yeye ndo aliyetoa hiyo likizo itakua zile moves zake na alternatives zote ziligoma kule upande wa pili so hakuwa na namna zaidi ya kujirudisha tu
Si bora ulivue pendo tu.. ya nini kuteseka...?Mkuu yeye ndo alinitema...
Labda nafurahia mateso unajuaje?Si bora ulivue pendo tu.. ya nini kuteseka...?
Si usome mkuu!Millard Ayo kafanya nini tena?
HelloGudimonin
Niko salama mkuuMorning Mtumish..Habari ya leo mkuu?
[emoji15] [emoji15]Labda nafurahia mateso unajuaje?
[emoji106]Pamoja mkuu
[emoji120] [emoji120]Stay blessed
Kamoo...Hello
Namshukuru Mungu niko mzima wa afya.Poa sana leo kamanda..Habari ya kwako leo mkuu?
Kwani mafundi mko wangapi?Mimi mzima kabisa, tunalijenga taifa tu,sijui tutamaliza lini kulijenga
Habari mupya mujini."Uwoya aitwa na Kenyatta ikulu Kenya"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bongo bhana.Magazeti ya udaku hayo
Kesho yataandika mimi nimealikwa chakula cha jioni na mh. JPM.Chezea magazeti ya bongo
Uweledi hakuna kabisaBongo bhana.
teh tehJana Mtumishi jambilo hakuwemo hata kwenye top 10.
thanx...Karibu[emoji120]