Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jun 22, 2016 #58,561 manuu said: Morning to you too my dada...Umeamkaje leo? Click to expand... Niko poa kabisa mukaka.... Familia yako haijambo?
manuu said: Morning to you too my dada...Umeamkaje leo? Click to expand... Niko poa kabisa mukaka.... Familia yako haijambo?
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Jun 22, 2016 #58,562 amaizing said: Morning all Click to expand... Morning mkuu
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Jun 22, 2016 #58,563 amaizing said: Vip usafir ulikwama ??? Nimekusubiri hujatokea had asubuh imefika Click to expand... Natumai ulikuwa na usiku mtulivu kabisa na asubuhi umeamka ukiwa na afya tele my dear.Nikutakie siku njema.
amaizing said: Vip usafir ulikwama ??? Nimekusubiri hujatokea had asubuh imefika Click to expand... Natumai ulikuwa na usiku mtulivu kabisa na asubuhi umeamka ukiwa na afya tele my dear.Nikutakie siku njema.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jun 22, 2016 #58,564 amaizing said: Morning all Click to expand... Morning dear,mambo
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,565 Valentina said: Morning kapukuz Click to expand... Morning. Mzima wewe?
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jun 22, 2016 #58,566 EMMYGUY said: Morning. Mzima wewe? Click to expand... Hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
EMMYGUY said: Morning. Mzima wewe? Click to expand... Hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Jun 22, 2016 #58,567 EMMYGUY said: Jumatano tulivu tumeshaianza hasa tukiwa maeneo yetu ya upalanganaji wa kujitafutia ridhiki. Nambie kaka. Click to expand... Nashukuru kusikia hivyo mkuu...Dawa ni kupambana kuzichanga hizi Shilingi hakuna namna nyingine..
EMMYGUY said: Jumatano tulivu tumeshaianza hasa tukiwa maeneo yetu ya upalanganaji wa kujitafutia ridhiki. Nambie kaka. Click to expand... Nashukuru kusikia hivyo mkuu...Dawa ni kupambana kuzichanga hizi Shilingi hakuna namna nyingine..
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Jun 22, 2016 #58,568 Valentina said: Morning dear,mambo Click to expand... Ni poa mamy
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Jun 22, 2016 #58,569 manuu said: Natumai ulikuwa na usiku mtulivu kabisa na asubuhi umeamka ukiwa na afya tele my dear.Nikutakie siku njema. Click to expand... Thanx hny Kaz njema Lv yuuuuu
manuu said: Natumai ulikuwa na usiku mtulivu kabisa na asubuhi umeamka ukiwa na afya tele my dear.Nikutakie siku njema. Click to expand... Thanx hny Kaz njema Lv yuuuuu
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Jun 22, 2016 #58,570 Valentina said: Niko poa kabisa mukaka.... Familia yako haijambo? Click to expand... Nashukuru kusikia upo poa mi na familia yangu tunazidi kumtumikia bwana kwa afya njema aliyotupa asubuhi hii...
Valentina said: Niko poa kabisa mukaka.... Familia yako haijambo? Click to expand... Nashukuru kusikia upo poa mi na familia yangu tunazidi kumtumikia bwana kwa afya njema aliyotupa asubuhi hii...
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,571 shululu said: Poa poa mkuu,za wewe Click to expand... Salama kabisa Mkuu, siku iko pouwaa.
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Jun 22, 2016 #58,572 amaizing said: Thanx hny Kaz njema Lv yuuuuu Click to expand... Luv u more dear..Enjoy the day..
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jun 22, 2016 #58,573 manuu said: Nashukuru kusikia upo poa mi na familia yangu tunazidi kumtumikia bwana kwa afya njema aliyotupa asubuhi hii... Click to expand... Good sana.... Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisika
manuu said: Nashukuru kusikia upo poa mi na familia yangu tunazidi kumtumikia bwana kwa afya njema aliyotupa asubuhi hii... Click to expand... Good sana.... Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisika
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,574 amaizing said: Vip usafir ulikwama ??? Nimekusubiri hujatokea had asubuh imefika Click to expand... Usafiri wangu uligoma shemdarling. Mambo niaje lakini?
amaizing said: Vip usafir ulikwama ??? Nimekusubiri hujatokea had asubuh imefika Click to expand... Usafiri wangu uligoma shemdarling. Mambo niaje lakini?
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,201 Reaction score 28,088 Jun 22, 2016 #58,575 Valentina said: Good sana.... Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisika Click to expand... Milele daima!
Valentina said: Good sana.... Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisika Click to expand... Milele daima!
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,576 amaizing said: Morning all Click to expand... Morning shemdarling.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,577 Valentina said: Hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu Click to expand... Mungu anasaidia, niko mzima wa afya. Familia yako vipi?
Valentina said: Hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu Click to expand... Mungu anasaidia, niko mzima wa afya. Familia yako vipi?
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jun 22, 2016 #58,578 EMMYGUY said: Salama kabisa Mkuu, siku iko pouwaa. Click to expand... Pamoja mkuu
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2016 #58,579 manuu said: Nashukuru kusikia hivyo mkuu...Dawa ni kupambana kuzichanga hizi Shilingi hakuna namna nyingine.. Click to expand... Ni ukweli usiopingika kaka.
manuu said: Nashukuru kusikia hivyo mkuu...Dawa ni kupambana kuzichanga hizi Shilingi hakuna namna nyingine.. Click to expand... Ni ukweli usiopingika kaka.
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 Jun 22, 2016 #58,580 Valentina said: Good sana.... Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisika Click to expand... Kabisa kabisa dada angu..Najua husomagi biblia maneno haya utakuwa umeyapata kwenye ile kwaya..
Valentina said: Good sana.... Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisika Click to expand... Kabisa kabisa dada angu..Najua husomagi biblia maneno haya utakuwa umeyapata kwenye ile kwaya..