Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Man u kocha wake mourinhoKwan stars inatofaut gani na man u
Staz mkwasa
Man u kocha wake mourinhoKwan stars inatofaut gani na man u
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Amna broooo
Acha nilale sasa, copa amessia hainihusuu
ulale salama usiwewesekeAme-assist na amefunga!! Kuona ni kuamini. Asante Messi Mchezaji bora kuwahi kumshuhudia.Time 4 Messi
Kipato huleta majivuno![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi nimefurah dimaria alivyoumia maana mngesema yy ndio anaibeba Argentina
King Messi 2 assist 1 goalAme-assist na amefunga!! Kuona ni kuamini. Asante Messi Mchezaji bora kuwahi kumshuhudia.
Tutake radhi, futa kauli yako!! Hapana fananisha United na vitu vya kijinga!!Kwan stars inatofaut gani na man u
Tutake radhi, futa kauli yako!! Hapana fananisha United na vitu vya kijinga!!
nishafuta kauli japo UEFA kwenye king'amuzihahaha...haya bhana!! Ila tutabounce back![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nishafuta kauli japo UEFA kwenye king'amuzi
Morning...umeamkaje mkuu?Morning all
Niko poa mkuu,vp weweMorning...umeamkaje mkuu?
Namshukuru Mungu niko poa pia.Niko poa mkuu,vp wewe
Poa poa mkuuNamshukuru Mungu niko poa pia.
Baadae kidogo mkuu.
Full Time
Argentina 4:0 USA
KING 1 HIGUAIN 2 LAVEZZI 1
assist King 2