Katisha sana,harafu ni waziri waZaidi ya nape.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Hili si tatizo tu la Uganda Cranes, kimsingi soka la Afrika limeshuka sana ndiyo maana hamuioni timu yoyote ya Afrika kwenye michuano ya Euro 2016 inayoendelea Ufaransa,"
Janeth Museveni, Waziri wa Elimu & Michezo Uganda akiongea katika mkutano na waandishi wa habari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Shem ndugu yako Niko nae kila siku vile kaamua kuvunivunjia heshimaTaratiibu Shem langu, nawe ulitelekeza ndoa ukaenda kuzurura ona sasa wenzio watolea mijicho
Cc valentina
Dah atakuwa ameghafilika kwa kiwango kilichotukuka..
Ha haa hebu acha wivu huko
Poa kaka kipenzi.... We ni mali ya nani humu?Mambo.....
Nani dada ako[emoji15]Dada angu wa baba mkubwa eti kule nyumbani wanasemaje?
Senkyuuu[emoji4][emoji2] [emoji2] [emoji2]
All the best mamy
Wow!.....and finally my Sis is here!... I was missing you so much!! [emoji24] [emoji24] [emoji24] I have been finding you all over the week, tell me how you are doing and what happen in those days![emoji2] [emoji2] [emoji2]
All the best mamy
Naomba nijue wewe ni Mali ya nan???Poa kaka kipenzi.... We ni mali ya nani humu?
Harudi ng'ooo
Dada kipenzi Leo upo vzr saana dah.....Nani dada ako[emoji15]
Hey broWow!.....and finally my Sis is here!... I was missing you so much!! [emoji24] [emoji24] [emoji24] I have been finding you all over the week, tell me how you are doing and what happen in those days!
Nzuri kabisa Jonax, Jana ukatelekeza lindoHabari zenu Makapuku wenzangu
Ni poa sanaHabari zenu Makapuku wenzangu
Mie bby mpya wa manuu...Naomba nijue wewe ni Mali ya nan???
Poa karibu jamviniHabari zenu Makapuku wenzangu
Huyu mtu pembeni tunapeana mautamu huku ananikana. Leo sikubaliDada kipenzi Leo upo vzr saana dah.....