Baba Mtumish nashukuru sana kukuta kijiweni siku hii nyingine....Nafanya mapitio kidogo hadi kwenye magazeti bila shaka dada yetu Jimena aliamka kabla yangu..
My Valentine day ya mwaka huu ilikuwa nzuri sana pale nilipo pata fursa ya kuwa na Valentina katika siku hiyo ya Valentina.....Umeona vina vilivyo lala hapo fulu hiphop..