Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nalikumbuka, alipata krosi maridadi toka kwa Robert Carlos upande wa kushoto na yeye bila ajizi akaunganisha juu kwa juu na kupiga goli la ushindi lililowapa ubingwa wa Uefa 2002!!
Hatari sana
Vp unakumbuka hat trick ya Ronaldo De Lima na chenga kali ya Redondo Old Tfafford?
Japo mm Man Utd lkn nikajikuta natabasamu tu
.........
 
hahaha...Redondo fundi wa mpira sisahau alivyompiga tobo ya kisigino yule beki Hening Berg kisha akaenda kutoa bonge la assist kwa Raul.

Ronaldo Luis De Lima " El Phenomenon " wakati anafanyiwa sub ilibidi uwanja mzima umpigie makofi na mashabiki wote bila kujali mapenzi yao kwa timu zao ilibidi tu wasimame kumpa heshima yake. Nyakati zile hazijirudii tena.
 
c552c4e504b133485a96116609779819.jpg

Mtag mwenye miguu yake km unamjua
.........
Ngedere
 
hahaha...Redondo fundi wa mpira sisahau alivyompiga tobo ya kisigino yule beki Hening Berg kisha akaenda kutoa bonge la assist kwa Raul.

Ronaldo Luis De Lima " El Phenomenon " wakati anafanyiwa sub ilibidi uwanja mzima umpigie makofi na mashabiki wote bila kujali mapenzi yao kwa timu zao ilibidi tu wasimame kumpa heshima yake. Nyakati zile hazijirudii tena.
Kweli ww mtu wa soka
..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom