Nitajie......
Halafu kuna bwege anajiita Tozy wanafikiri watakuwa km mimi bila kuumiza vichwa....mwenzao nilitoa thread zenye mvuto na hazichuji wala kuchosha
Watahangaika sana
........
Nalikumbuka, alipata krosi maridadi toka kwa Robert Carlos upande wa kushoto na yeye bila ajizi akaunganisha juu kwa juu na kupiga goli la ushindi lililowapa ubingwa wa Uefa 2002!!