Salamu sana ama baada ya salamu hofu ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.
Dhumuni la post hii nikutaka kukujulisha kwamba mimi sijambo kabisa........
Nimemis sana haya mambo yangu enzi hizo,shida inakuja pale mwalimu anapokama hiyo barua kwenye daftari.................
Natumai uko poa kabisa mkuu.