Makapuku Forum

Makapuku Forum

33d5ee2279d94fe6b15ed7feeb98d79a.jpg

Uliangalia kweli mpira au umehadithiwa?
Hahua hahua hahua

..........
Nipi Algeria mkuu nimeucheki vizuri sana
 
Wazima wote?

Salamu sana ama baada ya salamu hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.
Dhumuni la post hii nikutaka kukujulisha kwamba mimi sijambo kabisa........
Nimemis sana haya mambo yangu enzi hizo,shida inakuja pale mwalimu anapokama hiyo barua kwenye daftari.................
Natumai uko poa kabisa mkuu.
 
Salamu sana ama baada ya salamu hofu ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.
Dhumuni la post hii nikutaka kukujulisha kwamba mimi sijambo kabisa........
Nimemis sana haya mambo yangu enzi hizo,shida inakuja pale mwalimu anapokama hiyo barua kwenye daftari.................
Natumai uko poa kabisa mkuu.
Mie mzima kabisa.. Miss you a lot..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom