Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Kaksikia hatak matani
Kaksikia hatak matani
Anakifaduro huyu
Next season hyooooo
Bora huku,mchangani unatafta bpView attachment 357740
Team yangu nyingine
Ubelgiji au belgium
Lukakuuuuuuuu
Belgium 1
R. Of ireland 0
Hahaaaaa hata paka hawi hivo![]()
Aburuzwe tu
........
Umesahau Nini kwanguNakutafutaa
Vijana wana hasira![]()
![]()
.......
Unammiss asiyekumiss!Baby.....achana nae Huyo
I miss u
Nimefunga goli Leo....
Mtachukiliana sime,ndo kilichobakiUnammiss asiyekumiss!
Umeanza lini kuwa mchawi??Yanga ni kipigo tu hakuna namna mpaka manji aachie ngazi
Mkuu upo kijiji gani??? Simu yako imepitshwa na tcra????NAWASHANGAA HALOTEL KWA KURIDHIKA HARAKA HIVYO. HATA MWAKA HAWAJAMALIZA NAO WANAFANYA VIBAYA KAMA MITANDAO MINGINE WAKATI TUNAIKIMBIA. KUFUNGUA TU PICHA INACHUKUA MUDA MREFU HADI HAMU INAISHA.
Lukaku again....![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Wala hakuna cha sime, sisi twaujua mchezo mkuuMtachukiliana sime,ndo kilichobaki
Wakizubaa anasepa na mpiraLukaku again....