Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Tuko vizuri, za muamko?Habari za jumamosi....
Tuko vizuri, za muamko?Habari za jumamosi....
PoaNgoja nilete magazeti sasa
Ok Ok Owkey nimekusoma! Ukweli ni kuwa Jamaa anajua.I mean ........CR7 na Messi wasingekuwa strikers basi jamaa angejibebea uanasoka bora wa dunia km x 3 hivi![]()
![]()
![]()
![]()
Iniesta hatari sana anaburuta kijiji kizima
.........
Usife moyoNdio timu yangu imefungwa 1 - 0 ila bado ni timu nzuri tu
Morning myMorning all

Niko salama mkuu, habariNashukuru, dole gumba liliteleza.
Umeamkaje lakini kiongozi?
Salamu kwenu wote FaMILIA

Pamoja mkuuIko poa, unajua ukiamka mzima unakuwa ushasevu bajeti ya hospital, Mungu ni Mwema.
Salama cuzooHabari za jumamosi....
PointIko poa, unajua ukiamka mzima unakuwa ushasevu bajeti ya hospital, Mungu ni Mwema.
Mkuu nashukuru Mungu si mbayaIko poa kiaina yake, sijui hapo ulipo wewe?
Niko poa mpendwaHope wote mko poa sana
Njema Dadake mpendwa, cjui kwakoHabari za jumamosi....
Ngoja nilete magazeti sasa

Jana kapiga mpira mwingi halafu kamvisha mtu bonge la kanzu hadi aibuOk Ok Owkey nimekusoma! Ukweli ni kuwa Jamaa anajua.