Wazima kabisaWazima wote?
Shululu, mamboWazima kabisa
Habari za ulipo??Wazima kabisa
Poa kabisa@jambilo,huku Iringa baridi kwa sanaShululu, mambo
Mi niko poa kakaake... Upweke wa nini tenaOoooooh dadake mie Mzima sana japo mpweke, uko poa?
Huku nilipo ni nzuri kabisa, wewe je@LinamoHabari za ulipo??
Huku shwari kabisaHuku nilipo ni nzuri kabisa, wewe je@Linamo
Wa afya bibieWazima wote?
Mkuu wazo njema saaaanaHabar zenu wakuu
Katika kuweka uzi wetu uwe makini na wa kuelimisha , nmekuja na segment yangu ambayo itaitwa kumi kali au top ten aka kumi bora
Itakuwa inaletwa kila siku mida kama hii na mimi mwenyewe
Szczesny Carrenza de la casa de la fuma
Na leo ntaanza na The
World’s 10 Most Expensive Luxury Hotels, yaan hoteli kumi kali za gharama na za starehe dunianiiio
Number 10: Marquis Los Cabos, Los Cabos
Number 9: Cuisin Art Golf resolt-Spain
Vzur ila mbona umeishia kati au Google inasumbuaHabar zenu wakuu
Katika kuweka uzi wetu uwe makini na wa kuelimisha , nmekuja na segment yangu ambayo itaitwa kumi kali au top ten aka kumi bora
Itakuwa inaletwa kila siku mida kama hii na mimi mwenyewe
Szczesny Carrenza de la casa de la fuma
Na leo ntaanza na The
World’s 10 Most Expensive Luxury Hotels, yaan hoteli kumi kali za gharama na za starehe dunianiiio
Number 10: Marquis Los Cabos, Los Cabos
Number 9: Cuisin Art Golf resolt-Spain
Mpenzi....Mi niko poa kakaake... Upweke wa nini tena
Habari za kufuturuWa afya bibie
Jakuzi ni nini?Number 8: The boulders, Arizona
Imejengwa kwa milioni 12 usd na ina ekari 1300
Number 7: Palms, Las Vegas
Hii inachukua watu 250 kwa wakati mmoja na ina jakuzi ambalo huelea flani hivi
Number 6: Atlantis Paradise Island, Bahamas
Ina ekari zaid ya 150 na ni ghorofa 23 kila chumba kina piano na vyumba vya mazoezi
Kwani wifi kaenda wapi??Mpenzi....
Hongera MkuuAaah nzuri tumefikisha 12 kesho 13
Nipo mkuu, si unajua Mishe mkuu.Sku mbili hzi hukonekana,l mkui
Siye tupo hapa tua lisongesha