lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,201
- 28,086
JambiloLukesam
JambiloLukesam
Jambilo

Acha ujinga mkuu hilo nina ni unique na lina maana nzuri tofauti na ufaham wako![]()
![]()
Fanya mpango ubadili hii jina kapuku..
Acha ujinga mkuu hilo nina ni unique na lina maana nzuri tofauti na ufaham wako
la ki-mila mkuu??
Sina mila wala kabila![]()
la ki-mila mkuu??
Mzima kabsaa wewe je!!?Safi, muzima weye?
Mzima wa afya.Mzima kabsaa wewe je!!?
Tupo mkuuMakapuku mpooo??
Njema mkuuHabari za jioni makapuku
Sku mbili hzi hukonekana,l mkuiMzima wa afya.
Hi Mr. DumilaNjema mkuu
Pole na safariZa jioni makapuku family, nimefika salama Iringa
Asante@jambiloPole na safari
Hatujambo, habari za lushotoWakuu wamjambo?
Za jioni njema tu Pia ashukuriwe Mungu kwa kufika salamaZa jioni makapuku family, nimefika salama Iringa