Yeah kipindi mimi nasajikiwa Nahrene ndo alikuwa anaondoka na nlimkuta youngblood ana lia lia apa ndo tukawa tuna mfariji hapa na jamaa mmoja aitwa emmyguy sjui aliendaga wap naye
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukrani kwake sana.