Kwa mujibu wa waziri wa fedha na mipango Dkt Philip Mpango mkoa wa Kigoma unaongoza kwa umasikini kwa kuwa na watu masikini 48.9% ukifuatiwa na Geita 43%,Kagera 39%,Singida 38%,Mwanza 35%.Mikoa yenye masikini wachache ni Dar es salaam 5.2%,Kilimanjaro 14.3%,Arusha 14.7%,Pwani 14.7%,Manyara 18.3%.Wilaya masikini zaidi ni Kakonko na Biharamulo(Kagera) ambazo 60% ya watu wake ni masikini.
*Wahaya kueni serious kidogo mmesahau mlikotoka*