Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 12, 2016 #51,121 briz said: Dah basi huyu jambilo atakua HB sana Click to expand... Aweke picha tuhakikishe Labda wamefanana na mama zao je??
briz said: Dah basi huyu jambilo atakua HB sana Click to expand... Aweke picha tuhakikishe Labda wamefanana na mama zao je??
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 12, 2016 #51,122 Jimena said: Maombi yake usiyaamini sana lakini Click to expand... Watu mna hujuma....
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 12, 2016 #51,123 Jimena said: Usikute alichachoka usaliti wa masharo akaamua kutulia na mzazi Kuna sababu zaidi ya hela inayoweza kupelekea mtu kuolewa na mtu wa age tofauti Celine Dion ni mfano tosha kuwa sio hela tu Click to expand... Pamoja na yote hayo lakin pesa ina nguvu sana jaman
Jimena said: Usikute alichachoka usaliti wa masharo akaamua kutulia na mzazi Kuna sababu zaidi ya hela inayoweza kupelekea mtu kuolewa na mtu wa age tofauti Celine Dion ni mfano tosha kuwa sio hela tu Click to expand... Pamoja na yote hayo lakin pesa ina nguvu sana jaman
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Jun 12, 2016 #51,124 Linamo said: watu ni shiiiiida Click to expand... Sasa hivi utasikia Daud Ballali kaonekana kwenye Maparachichi huko Kyela
Linamo said: watu ni shiiiiida Click to expand... Sasa hivi utasikia Daud Ballali kaonekana kwenye Maparachichi huko Kyela
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 12, 2016 #51,125 Jimena said: Wabondei Click to expand... Ndiyo wako na problems kiasi hicho
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 12, 2016 #51,126 shululu said: Ukifunga, ukifungwa tupia magori Click to expand... Ndo mpango haijalishi nani anafungwa ......
shululu said: Ukifunga, ukifungwa tupia magori Click to expand... Ndo mpango haijalishi nani anafungwa ......
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 12, 2016 #51,127 Linamo said: Sukari huko kwenu bei gani?? Click to expand... Buku tu, Panda gari uje hapa sitimbi nitakupa kilo mbili
Linamo said: Sukari huko kwenu bei gani?? Click to expand... Buku tu, Panda gari uje hapa sitimbi nitakupa kilo mbili
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 12, 2016 #51,128 Jimena said: Aweke picha tuhakikishe Labda wamefanana na mama zao je?? Click to expand... Hahahahaaaaa hilo nalo neno..
Jimena said: Aweke picha tuhakikishe Labda wamefanana na mama zao je?? Click to expand... Hahahahaaaaa hilo nalo neno..
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 12, 2016 #51,129 Mussolin5 said: Ndio maana mie niliuliza mapema ili nisije nikakosea Click to expand... Uko vizuri Hukurupuki
Mussolin5 said: Ndio maana mie niliuliza mapema ili nisije nikakosea Click to expand... Uko vizuri Hukurupuki
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,270 Jun 12, 2016 #51,130 Jimena said: Uko vizuri Hukurupuki Click to expand... wasiwasi ndio akili
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 12, 2016 #51,131 shululu said: Me Click to expand... Poa poa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 12, 2016 #51,132 briz said: Ok, ni ipi sasa jinsia yako? Click to expand... Briz na wewe si kashajibu hapo kuwa yeye ni Mr
briz said: Ok, ni ipi sasa jinsia yako? Click to expand... Briz na wewe si kashajibu hapo kuwa yeye ni Mr
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jun 12, 2016 #51,133 Bitoz said: Bado mm kuonekana kwenye Kambale wa Mabibo ......... Click to expand... Kwenye Yale mabwawa yetu
Bitoz said: Bado mm kuonekana kwenye Kambale wa Mabibo ......... Click to expand... Kwenye Yale mabwawa yetu
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jun 12, 2016 #51,134 Linamo said: Nifanikiwe katika maisha yangu. Click to expand... Yeye asifanikiwe
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 12, 2016 #51,135 shululu said: Kwenye Yale mabwawa yetu Click to expand... Mbona naonekane kichwa ........
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 12, 2016 #51,136 Jimena said: Briz na wewe si kashajibu hapo kuwa yeye ni Mr Click to expand... Mi nlijua hiyo Mr naitwa mie
Jimena said: Briz na wewe si kashajibu hapo kuwa yeye ni Mr Click to expand... Mi nlijua hiyo Mr naitwa mie
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jun 12, 2016 #51,137 Mussolin5 said: Sasa hivi utasikia Daud Ballali kaonekana kwenye Maparachichi huko Kyela Click to expand... Haaahaaa
Mussolin5 said: Sasa hivi utasikia Daud Ballali kaonekana kwenye Maparachichi huko Kyela Click to expand... Haaahaaa
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jun 12, 2016 #51,138 Mussolin5 said: Sasa hivi utasikia Daud Ballali kaonekana kwenye Maparachichi huko Kyela Click to expand... Huko ataonekana magufuli
Mussolin5 said: Sasa hivi utasikia Daud Ballali kaonekana kwenye Maparachichi huko Kyela Click to expand... Huko ataonekana magufuli
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Jun 12, 2016 #51,139 Mussolin5 said: wasiwasi ndio akili Click to expand... Kuna kaukweli hapa chief
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,498 Jun 12, 2016 #51,140 Jimena said: Buku tu, Panda gari uje hapa sitimbi nitakupa kilo mbili Click to expand... Niko mbwinde nitapita kesho
Jimena said: Buku tu, Panda gari uje hapa sitimbi nitakupa kilo mbili Click to expand... Niko mbwinde nitapita kesho