Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,354
- 829,591
Hao sio wafupi bali ni warefu kwenda chiniNimewaona! Ila wafupi sana. Wataweza kweli?
Hao sio wafupi bali ni warefu kwenda chiniNimewaona! Ila wafupi sana. Wataweza kweli?
Wote wanakusema sasa.Ubahili upi mkuu,wakati pesa zote za nyumba ya urithi amekula yeye.
Please asimtajeee....Suuuu mtaje
Ahaaaa Haaaa.... Braza tatizo kingreza hujui...Braza unapotea sasa jina gani unamuita shemeji yako jiangalie
![]()
![]()
![]()
![]()
Yote umeyataka wewe.Wote wanakusema sasa.
Jamani hawa mashemeji zangu kwa nani:mad😉Hapana nitawalindaView attachment 337444 umewaona makomando wangu???![]()
Mtaa wa pili wamenuna eti
Umeanza mwenyeweYote umeyataka wewe.
Kawanunulie kilo ya malimaoMtaa wa pili wamenuna eti
Bahati yako nimekatazwa..... Ningemuita mimi aje kutoa utambulisho,Suuuu mtaje
Amtaje tuPlease asimtajeee....
Utaumbukaa mkuu
Wanune mpaka wafe. Sie tupendaneMtaa wa pili wamenuna eti
Niliwaamsha asubuhi alafu nikaingia kwenye majukumuMkuu ndio unaweka bando sasa hivi?