Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
[emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74]Mwambie afanye haraka aje kabla sanamu ya askari haijabomolewa na kuweka ya Diamond.
Nadhan anasubiri aekwe bwana almasi kabsa kabsa
[emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74]Mwambie afanye haraka aje kabla sanamu ya askari haijabomolewa na kuweka ya Diamond.
Nkisha jenga ntakuita ukuje hapo MwanzaBasi kwenye mawe
Mbona unapatetea kwa Bonyokwa au unaishi kimara suka[emoji1] [emoji1]Hahahaha
Sawa sawa na kusema mzumbe siyo morogoro
Ndo unacho zungumza wewe
Nawe pia mkuuUsiku mwema my family
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Mbona unapatetea kwa Bonyokwa au unaishi kimara suka[emoji1] [emoji1]
AsanteNawe pia mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sikai mkoa unaoongozwa na CcmNkisha jenga ntakuita ukuje hapo Mwanza
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hupapendi kwa hyo kwa Mtogole unaona ni bora kuliko kimara[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Sipa tetei nakwambia ukweli kimara huwa sipapendi ila sja wahi sema siyo dar
Heeee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sikai mkoa unaoongozwa na Ccm
Wanafikir mpira ni taarabuVijana wa Malkia wapo wapo tuu
Eeeeh[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hupapendi kwa hyo kwa Mtogole unaona ni bora kuliko kimara
Profesa J LIJUAKAL KIWANGWA (sio kitwanga) DEVOTA MINJA wote hao wabunge from Moro TownHeeee
Moro kwani yuko nan!!?
[emoji81] [emoji81] [emoji81] ccm wako kila sehem kasoro dar, na mbeya
we Dar ni Dar tu hata ukae kweny hamdaki.Unakaa Kimara kwa Bonyokwa ukipanda daladala mgongo wote unakufa ganzi Halafu unajisifia nakaa dar[emoji1]
We uko kilombero!!? Kwa lijua likaliProfesa J LIJUAKAL KIWANGWA (sio kitwanga) DEVOTA MINJA wote hao wabunge from Moro Town
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ww mrangi ndio unajiita mwanadarisalama NA WAZARAMO JE?Eeeeh
Ni bora kwa mtogole ndo wana dsm wenyewe wenyewe waliko
Basi sawa [emoji41]we Dar ni Dar tu hata ukae kweny hamdaki.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mm sio mkatamiwaWe uko kilombero!!? Kwa lijua likali
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Mwana dsm ni anaye ishi dar, yaani mkaazi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ww mrangi ndio unajiita mwanadarisalama NA WAZARAMO JE?