Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
MmmhKibaba=kijana wa kiume
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Swaga tuuu hzo
MmmhKibaba=kijana wa kiume
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Swaga tuuu hzo
Unakaa Kimara kwa Bonyokwa ukipanda daladala mgongo wote unakufa ganzi Halafu unajisifia nakaa dar[emoji1]hata nikifika uko kijijini kwetu watanambia rudi Dar mana wenyewe wanafurahia mm kuwa Dar.
Lile jengo lilijengwa wakat olan ya mhi haija haribiwa mafuriko kpnd hko ayakuepo[emoji1] [emoji1] [emoji1] nafatisha maana bila kusahau Vuvuzela 0 Russia 0
Sawa wale jamaa wa huko hawajengi vyoo huwa wanajisaidia ziwaniMi napenda niwe na nyumba mwanza
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Unakaa Kimara kwa Bonyokwa ukipanda daladala mgongo wote unakufa ganzi Halafu unajisifia nakaa dar[emoji1]
Kudadadadek....Hii Ngoma ova MWENDOKASI[emoji111]Oyoooo
Karbuuuu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sawa wale jamaa wa huko hawajengi vyoo huwa wanajisaidia ziwani
Alitakiwa mkandaras kabla ya kujenga atumie mipango ya Millenia kama Jengo Zuri lenye hadhi la Msimbazi[emoji41]Lile jengo lilijengwa wakat olan ya mhi haija haribiwa mafuriko kpnd hko ayakuepo
Hatareee kama geshini vileKudadadadek....Hii Ngoma ova MWENDOKASI[emoji111]
Mwambie afanye haraka aje kabla sanamu ya askari haijabomolewa na kuweka ya Diamond.Hahahah
Bado sehem hazja jaa hata wewe hamia uje
Hao sina hofu nao kwani robo hawafikiMlale salama. Naona hawa mababu wa England hawaoneshi kabisaa tumaini. Nawapigwe tu.[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
Ttzo la mafuriko ni zaid ya ulijuavo kakaAlitakiwa mkandaras kabla ya kujenga atumie mipango ya Millenia kama Jengo Zuri lenye hadhi la Msimbazi[emoji41]
Kule ni kuzimu sababu dar Uniona kwa juu[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Kwani kimara bonyokwa ni morogoro au moshi!!?
Ni kweli mkuu Dawa ni kuyaachi maji njia yake Ili wakulima wapande mahindiTtzo la mafuriko ni zaid ya ulijuavo kaka
KabisaaaHao sina hofu nao kwani robo hawafiki
HahahahaKule ni kuzimu sababu dar Uniona kwa juu
Basi kwenye mawe[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mwanza huijui vzuriiiii weweee
Siyo kika sehem jiran na ziwaa
[emoji1] [emoji1] [emoji106] [emoji106]Kabisaaa