Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Endeleeni kupalilia mipapai huko poriniOndokeni dar mmejazana kama sisimizi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Endeleeni kupalilia mipapai huko poriniOndokeni dar mmejazana kama sisimizi
Moro Town bbyEndeleeni kupalilia mipapai huko porini
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
HahahahOndokeni dar mmejazana kama sisimizi
tutoke Dar tukaishi wapi tena Hapa TzOndokeni dar mmejazana kama sisimizi
Uje uone tamasha la chipsi yai zegeOndokeni dar mmejazana kama sisimizi
Mmejzana kama kumbikumbi unataka nihamie kule mabondeni? Mafuriko yakija nikajifiche kwenye kile kighorofa kimoja cha rangi ya kijaniHahahah
Bado sehem hazja jaa hata wewe hamia uje
Hongera mukubwa kwa kutupiamo post #50000hahaha
Urudi kijijini kwenu Tandahimbatutoke Dar tukaishi wapi tena Hapa Tz
Akili kichwani sehem zczo mambonde zipo nyingi tuu, ila uki lazmisha kule ndo bas tenaMmejzana kama kumbikumbi unataka nihamie kule mabondeni? Mafuriko yakija nikajifiche kwenye kile kighorofa kimoja cha rangi ya kijani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huwa cna mda wa kupoteza kufatilia matamasha hayo. HATA BARCELONA WAKIJA TZ NITAWAELELEZA WASHUKIE MOROUje uone tamasha la chipsi yai zege
[emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74] [emoji74]
Hahahah
Bado sehem hazja jaa hata wewe hamia uje
Umrkubal kuwa kile kijumba cha kijani kilijengwa bila kutumia akil kichwaniAkili kichwani sehem zczo mambonde zipo nyingi tuu, ila uki lazmisha kule ndo bas tena
Asante sana mkuuHongera mukubwa kwa kutupiamo post #50000
Kibaba ndo wapi??[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Niko dar kibaba
Ila juzi tamasha la chipsi yai zege cjui skulipenda kabsaa
Umepitosha maana hapo sasaUmrkubal kuwa kile kijumba cha kijani kilijengwa bila kutumia akil kichwani
Kibaba=kijana wa kiumeKibaba ndo wapi??
hata nikifika uko kijijini kwetu watanambia rudi Dar mana wenyewe wanafurahia mm kuwa Dar.Urudi kijijini kwenu Tandahimba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nafatisha maana bila kusahau Vuvuzela 0 Russia 0Umepitosha maana hapo sasa