Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,638
Man wenyewe wanamlaani sana LVGHuyu jamaa anajua
Hahahahah.Wambomele(andunje) nimecheka sana
Cr7 my favorite player![]()
Watu na record zao
...........
Lisa Van Girl alikuwa mapepe sana bora katimuliwaMan wenyewe wanamlaani sana LVG
Acha tu. Unaambiwa huyo jamaa akiwa uwanjani anacheza kwao uhalifu unapungua. Nimesikia mtaaniMan wenyewe wanamlaani sana LVG
Na EURO anahitaji bao 4 kukaa kileleniCr7 my favorite player
Mtag Panadol Na Cake 1 (PMC 1)Record za Messi kwa Copa America zikoje
I hope atazipata hizoNa EURO anahitaji bao 4 kukaa kileleni
............
Acha tu. Unaambiwa huyo jamaa akiwa uwanjani anacheza kwao uhalifu unapungua. Nimesikia mtaani
I hope atazipata hizo
Jamaa anajua sana
Alichokuwa anawashangaza watu,muda wote anatembea na file, ukifunga goli anaandika,ukikosa anaandika,akifungwa anaandika,je kwa muda wote aliokaa kabati la man limejaa mafile tuAcha tu. Unaambiwa huyo jamaa akiwa uwanjani anacheza kwao uhalifu unapungua. Nimesikia mtaani
Utafikiri mwalimu wa zamu aisee. Kocha hata amsha popo hanaAlichokuwa anawashangaza watu,muda wote anatembea na file, ukifunga goli anaandika,ukikosa anaandika,akifungwa anaandika,je kwa muda wote aliokaa kabati la man limejaa mafile tu
Alichokuwa anawashangaza watu,muda wote anatembea na file, ukifunga goli anaandika,ukikosa anaandika,akifungwa anaandika,je kwa muda wote aliokaa kabati la man limejaa mafile tu
First time namuona kwenye mashindano ya afcon. Jamaa alikaza sana![]()
![]()
Jamaa ana roho mbaya nimecheki video zake
.........