Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,789
Shkamooni!
R.I.P![]()
R.I.P
.......
Naam naam!Asantreeee mkuu
Mzima wewe
Morning kwa hisani ya King MessiGood morn the blessed family
Messi Messaya!!
Mzima wewe?Kumekucha na makucha yake,kila mtu na kichaa chake
Ahsante kwa magazeti asubuhi ya leo Jimena
Duuuh...pole sana!!duh! pale unapochelewa kula daku baada ya alarm kutolia usiku unakurupuka unakiona kijua cha saa moja wallah unaweza ukatafuna mkeka..pale unapotega alarm kwa masaa ya vietnam wakati wewe upo mabibo kudadeki unaweza kulipaka godoro blueband,yamenitokea leo